Wednesday, May 25, 2016

DOWNLOAD NEW MUSIC: RAYMOND - NATAFUTA KIKI

Ni Mei 25 ambapo msanii kutoka kwenye label ya WCB, Raymond anazimiliki spika za radio mbalimbali baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya iitwayo Natafuta Kiki ambayo imetayarishwa katika studio za Wasafi Record.
Ukishamaliza kuisikiliza hapa sio mbaya ukituachia na comment yako mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
<iframe src="http://www.audiomack.com/embed4/haijawahi-kutokea-blog/natafuta-kiki-haijawahi-kutokea-blog" scrolling="no" width="100%" height="110" scrollbars="no" frameborder="0"></iframe>



Powered by Blogger.